EACC yatoa sababu za kumtimua Samuel Oruma

  • | Citizen TV
    3,063 views

    Tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini EACC inamchunguza afisa Mkuu Mtendaji wa Shirika la Maji la Central Rift Valley Samuel Oruma kuhusiana na sakata ya shilingi bilioni 1.7. Inadaiwa kuwa Mhandisi Oruma aliidhinisha kubadilishwa kwa muundo wa mabomba ya maji kwa ujenzi katika miji ya Bomet - Longisa na Mulot ambayo gharama yake ilikuwa ya juu