- 211 viewsDuration: 1:15Tume ya kupambana na ufisadi EACC imetwaa kipande cha ardhi chenye thamani ya shilingi milioni 50 ambacho inadai kilikua kimenyakuliwa mjini Machakos Hii ni baada ya tume hiyo kufika katika mahakama ya Machakos ambayo iliamuru kuwa ardhi hiyo irejeshwe kwa EACC kipande cha ardhi ambacho kilitengewa mpango wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu. Mmoja wa wamiliki alirejesha hatimiliki haraka wakati zoezi la uchunguzi kilikua likiendelea..