19 Nov 2026 10:07 am | Citizen TV 20,685 views Duration: 1:07 Edwin Sifuna: Kuna siku nimesismama nikasema Atwoli atoke kama kiongozi wa COTU? Hata kama hutaniunga mkono, naomba unibariki tu, wacha nikwame mwenyewe. Kila siku ni wewe unanivua nguo, mimekukosea wapi?