Skip to main content
Skip to main content

El Niño yenye nguvu zaidi kugonga Dunia 2026

  • | BBC Swahili
    41,205 views
    Duration: 5:58
    Awamu mpya ya hali ya hewa ya El Niño inaweza kuanza ndani ya wiki chache zijazo, Umoja wa Mataifa umeonya, hali ambayo itaongeza joto katika sayari ambayo tayariinakabiliana na chnagamoto ya mabadiliko ya tabianchi. Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) limesema El Niño hii huenda ikatokea mwaka 2026, na kusababisha hali mbaya zaidi za hewa katika sehemu kubwa za dunia. Utabiri kadhaa kutoka mashirika ya kitaifa ya hali ya hewa unaonyesha huenda ikawa mojawapo ya El Niño zenye nguvu zaidi kuwahi kurekodiwa — kinachoweza kuitwa ‘super’ El Niño.” FAIDHA NGAGA ANA MAELEZO ZAIDI. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw