- 145 viewsWatu wawili wameshtakiwa katika mahakama ya Eldama Ravine kaunti ya Baringo kwa mashtaka ya kumiliki pombe haramu. Haya yanajiri siku chache baada ya taarifa kuangazia changamoto ya pombe haramu katika Kijiji cha Poror kaunti ya Baringo. wakaazi wa Eldama Ravine waliandamana kushinikiza serikali kuweka mikakati zaidi kupunguza pombe haramu.