Skip to main content
Skip to main content

Elimu ya wafugaji Laikipia

  • | Citizen TV
    71 views
    Huku shule nyingi nchini zikifunguliwa kwa muhula wa pili, wafugaji kutoka Kaunti ya Laikipia wameiomba serikali kuwekeza zaidi katika ufadhili wa elimu ili wanafunzi kote nchini wapate fursa sawa za kusoma, hasa ikizingatiwa kuwa gharama ya elimu bado iko juu.