Elsie Muhanda ataka wanawake wanaojifungua mapacha watatu au zaidi wasaidiwe kifedha

  • | KBC Video
    13 views

    Mwakilishi wa kike kwenye bunge la taifa katika kaunti ya Kakamega Elsie Muhanda amewahimiza waakilishi wadi ya kaunti hiyo kubuni sheria zitakazowasaidia kifedha wanawake wanaojifungua mapacha watatu au zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News