Huku vyama mbalimbali vya kisiasa vikiendelea na kampeni ya kuasaka kura za chaguzi ndogo katika maeneo tofauti nchini, chama cha TEP "the Equatable Party" katika kaunti ya Nandi kimetangaza kuwa na mgombea wao kwenye kinyanganyiro cha urais wa mwaka wa 2027.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya