Skip to main content
Skip to main content

Polisi waanza utekelezaji wa mfumo wa kulipa faini papo hapo barabarani

  • | Citizen TV
    13,281 views
    Duration: 2:35
    Inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja anasema tayari wamewatuma maafisa wa usalama kwenye barabara kuu nchini kuhakikisha mfumo wa kulipa faini mara moja kwa madereva wanaovunja sheria unaanza msimu huu wa sikukuu. Ni shughuli ambayo tayari imeanza katika baadhi ya barabara kuu nchini ikiwemo ile ya Nairobi - Nakuru