Fahamu biashara ya vipodozi asili vya Comoro

  • | BBC Swahili
    1,570 views
    Kwa miongo mingi, wanawake wa kisiwa cha Comoro wamekuwa wakitengeneza vipodozi asilia kwa kutumia miti kama ya mlangi langi na msandali. Vipodozi hivyo vinaweza kutumika kwa ajili ya sherehe maalum au hata siku za kawaida. Mtu anaweza kupaka kwenye uso mzima au katika baadhi ya sehemu za uso. #bbcswahili #biashara #comoro #ujasiriamali #vipodozi