- 13,621 viewsDuration: 2:08Umewahi kufikiria kuwa kula miguu ya kuku kunaweza kukupatia faida kiafya? @viktor_kenani anaelezea faida za kiafya za kula miguu ya kuku. Je wewe huwa unaitupa au unakula? 🎥: @brianmala #bbcswahili #lishe #Afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw