Fahamu vikao virefu na vifupi zaidi vya kumchagua Papa.

  • | BBC Swahili
    11,956 views
    Kikao cha faragha cha kumchagua Papa atakayeliongoza kanisa katoliki kimeanza huku wengi duniani wakisubiri kwa hamu kuuona moshi mweupe kutoka kanisa la mtakatifu petro. Leila mohamed anaagazia vikao vya awali vilivyochukuwa muda mrefu zaidi na vile vilivyochukuwa muda mfupi kabisa. #bbcswahili #vatikani #papafrancis Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw