- 16,541 viewsDuration: 2:03Dagaa, ni chakula maarufu duniani, kwa ukanda wa afrika Mashariki ni kitoweo maarufu na mara nyingi kutumiwa kama mboga ya kula na wali ama ugali. Wataalam wa lishe wanasemaa dagaa ni nzuri na zina faida kiafya. Je ni faida gani hizo? @sarafinarobi anaelezea- #bbcswahili #afya #vyakulavyabaharini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw