Faida za taka za vyakula

  • | K24 Video
    43 views

    Tani nyingi za taka hupelekwa katika majalala kila siku humu nchini. Asilima 70 hadi 80 ya taka hizo huwa ni mabaki ya vyakula, na huwa zina madhara makubwa kwa anga, kufuatia gesi aina ya methane ambayo hutoa zinapoachwa kuoza katika majalala. Katika harakati za kukabiliana na uchafuzi wa anga kwa gesi hiyo. Kundi moja la waokotaji taka mjini Naivasha ambalo limekuwa likishughulikia taka hizo kabla zifikishwe katika jaa.