Skip to main content
Skip to main content

Fainali za Ligi ya Voliboli zaanza rasmi

  • | Citizen TV
    293 views
    Duration: 55s
    Fainali za Ligi ya Voliboli ya msimu wa 2025/2026 zilianza Ijumaa katika Ukumbi wa Kasarani huku mabingwa wa zamani Kenya Pipeline Volleyball Club wakipambana na Kenya Prisons Volleyball Club upande wa wanawake. Kwa upande wa wanaume, Chema Volleyball Club walikabiliana na Kenya Ports Authority Volleyball Club katika mechi ya ufunguzi wa fainali hizo.