Skip to main content
Skip to main content

Familia 30 Kamuthi Kahawa West zilalamikia uvamizi wa shamba na kuhamishwa kwa nguvu

  • | Citizen TV
    2,155 views
    Duration: 2:38
    Familia 30 mtaani Kamuthi, Kahawa West jijini Nairobi, zinalilia haki baada ya wahuni kuwavamia na kuharibu mali katika shamba lao na kuwalazimisha familia hizo kuhama. Baadhi ya familia hizo zinadai kurithi ardhi hiyo kutoka kwa wazee wao tangu miaka ya 90.