- 986 viewsDuration: 2:38Familia moja eneo la sabatia kaunti ya Vihiga inalilia haki baada ya mama mjamzito kufariki akijifungua katika hospitali ya kimisheni eneo la mukumu kaunti ya Kakamega. Familia ya Grace Wambui misigo inadai kuwa wauguzi katika hospitali hiyo walimdhulumu hadi kufariki akijifungua. Upasuaji wa maiti ya marehemu umeonyesha kuwa mama huyo alifariki kutokana na majeraha na kuvunjika viungo.