Skip to main content
Skip to main content

Familia Kwale yalilia haki baada ya mwanamume kuuawa katika mzozo wa ardhi

  • | Citizen TV
    209 views
    Duration: 2:31
    Familia moja eneo la Mwereni katika eneo bunge la Lunga Lunga, Kaunti ya Kwale, inalilia haki baada ya jamaa yao kuuawa kwenye mzozo wa ardhi. Mzee Kesi Gwende aliuawa kwa kudungwa mishale baada ya kile familia yake inasema ni vitisho vya mara kwa mara kuhusu usalama wake. Familia hiyo inadai kuwa mzozo unahusiana na umiliki wa kipande cha ardhi ya zaidi ya ekari 1,000. Maafisa wa polisi Lunga Lunga wamesema wameanzisha uchunguzi.