Skip to main content
Skip to main content

Familia Laikipia yadai haki baada ya tukio la risasi Rumuruti

  • | Citizen TV
    478 views
    Duration: 2:46
    Familia moja katika kijiji cha sosian, huko Rumuruti kaunti ya Laikipia inalilia haki baada ya mwana wao mwenye umri wa miaka 14 kudaiwa kupigwa risasi na kuuawa na mwenzake wa miaka 15 katika shamba la Ol Donyo Lemora. Kulingana na familia ya marehemu, Peter Edung alipigwa risasi na mwanawe mmiliki wa shamba hilo. Polisi wanasema baba na mwanawe walifikishwa mahakamani ijumaa na kuachiliwa kwa dhamana uchunguzi ukiendelea.