- 395 viewsDuration: 2:48Familia moja katika kaunti ya Homa Bay inatafuta haki kufuatia kifo cha jamaa wao Yvonne Lucy ambaye alifariki alipokuwa akipokea matibabu katika chumba cha wagonjwa mahututi baada ya kupigwa risasi katika tukio linalohusishwa na afisa wa polisi. Afisa anayeshukiwa kufyatua risasi hiyo anaripotiwa kuzuiliwa na polisi lakini familia hiyo inadai kuwa amekuwa akipiga simu mara kwa mara kwa familia ya mwathiriwa, akiwataka watupilie mbali kesi hiyo na kushinikiza ihamishwe kutoka mahakama ya Homa Bay hadi Kendu Bay. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive