Familia moja Eldoret inalilia haki baada ya kijana aliyepigwa risasi wakati wa maandamano kufariki

  • | Citizen TV
    899 views

    Makovu ya maandamano yakizidi kushuhudiwa nchini, familia moja mjini Eldoret inalilia haki baada ya mwana wao Timothy Bwibo aliyepigwa risasi Jumatano kufariki akipokea matibabu. Familia ya Bwibo inasema hakuwepo kwenye maandamano na kwamba alipigwa risasi akielekea nyumbani kutoka kazini.