Familia moja inalilia haki baada ya kifocha mwanafunzi kaunti ya Nyeri

  • | Citizen TV
    1,397 views

    Familia moja huko Nyeri inataka uchunguzi ufanyike kubaini chanzo cha kifo cha mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya upili ya wasichana ya tumutumu. Mwanafunzi huyo, Joy Wanjiru, aliaga dunia hapo jana.