Skip to main content
Skip to main content

Familia moja inalilia haki kufuatia kifo cha jamaa kilichotokea baada ya jengo kuporomoka Karen

  • | KBC Video
    511 views
    Duration: 2:15
    Familia ya Raphael Mwandikwa aliyefariki baada ya jengo lililokuwa linajengwa kuporomoka mjini Karen, inadai fidia na haki kwa jamaa wake. Familia hiyo inasema tangu kifo cha Mwandikwa, haijapokea taarifa yoyote kutoka kwa mmiliki wa jengo hilo au mamlaka husika. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive