Familia moja inamtafuta mpendwa wao Challa Taveta

  • | Citizen TV
    387 views

    Familia moja kutoka eneo la Challa eneo bunge la Taveta kaunti ya Taita Taveta inasononeka kufuatia kutoweka kwa mpendwa wao ambaye hajaonekana kwa siku 11 sasa. Daniel wambua ambaye ni mvuvi alionekana mara ya mwisho ziwa Challa ambako kawaida huendeleza shughuli zake za uvuvi.