Familia moja inaomboleza rukanga kaunti ya Kirinyaga

  • | Citizen TV
    144 views

    Familia moja katika kijiji cha rukanga kaunti ya kirinyaga inasononeka baada ya kuwapoteza watu watatu wa familia hiyo kwenye ajali ya barabarani kwenye barabara kuu ya mwea kuelekea embu.