Familia moja katika kaunti ya Muranga yalilia haki kwa mwana wao aliyenajisiwa mwaka jana

  • | Citizen TV
    541 views

    Familia moja katika kitongoji cha Kitune kaunti ya Muranga imeitaka serikli kuingilia kati na kuisaidia kulipa gharama ya matibabu ya mtoto wao wa miaka saba aliyenajisiwa mwaka uliopita.