Familia moja katika Kaunti ya Nandi inapitia wakati mgumu baada ya mwanao kupotea

  • | Citizen TV
    539 views

    Familia moja katika Kijiji cha Olonga'ta Kaunti ya Nandi inapitia wakati mgumu baada ya mwanao mwenye umri wa miaka 24 kupotea mwezi Jana katika njia isiyoeleweka. Daniel Kirwa ambaye alikuwa anafanya kazi kama mlinzi wa kampuni moja mjini Eldoret alitoweka alipokuwa kazini Na alinaswa Na CCTV akiondoka kazini usiku.