Skip to main content
Skip to main content

Familia moja kijijini Fihoni huko Kwale inalilia haki baada mtoto wao kuuawa kisha mwili kutupwa

  • | Citizen TV
    124 views
    Familia moja katika kijiji cha Fihoni kaunti ya Kwale inalilia haki baada mtoto wao msichana mwenye umri wa miaka 16 kuuawa kisha mwili wake kutupwa katika kijiji jirani baada ya kutoweka kwa siku tatu.