- 4,302 viewsDuration: 2:21Familia moja huko Mombasa inamsaka wakili aliyepotea wiki tatu zilizopita. Lena Righa, ambaye ni wakili kutoka Nairobi, alikuwa amesafiri Mombasa kutembelea familia ambapo baadaye alitoweka tarehe 19 Aprili bila kujulikana aliko hadi sasa.