- 1,542 viewsDuration: 3:57Majonzi na huzuni vilitanda wakati wa ibada ya wafu ya marehemu Daktari Victoria Mutiso, aliyeuawa akiwa njiani kuelekea kazini katika eneo la Upperhill, Nairobi, mwishoni mwa mwezi uliopita. Jamaa na marafiki walimwomboleza Daktari Mutiso kama mtu aliyekuwa mchangamfu na aliyeipenda familia yake.