Familia ya Antony Macharia aliyepoteza maisha katika maandamano yaendelea kuomba haki

  • | Citizen TV
    917 views

    Familia ya mwanafunzi Anthony Macharia aliyepoteza maisha yake Kwa kupigwa risasi na maafisa wa polisi katika eneo la Isebania kaunti ya Migori inaendelea kuomba idara husika kuharakisha uchunguzi Ili kubaini chanzo Cha kifo chake..