Familia ya binti aliyeuawa Roysambu yasema mshukiwa alidai Shs 500,000 ili kumuachilia huru

  • | KBC Video
    16 views

    Familia ya mwanamke aliyetambulika kama Rita Waeni Muendo aliyeuawa katika chumba kimoja cha malazi al-maarufu Airbnb eneo la Roysambu inadai kwamba mshukiwa wa mauaji hayo aliitisha shilingi nusu milioni jumapili asubuhi kabla ya kifo cha binti yao kugonga vichwa vya habari. Kwenye taarifa, familia hiyo inasema baada ya kupokea ujumbe huo wa kudai pesa, waliripoti mara moja kwa maafisa wa polisi kwa uchunguzi ila waligundua baadaye kuwa binti yao alikuwa tayari ameuawa. Giverson Maina anaripoti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive