Skip to main content
Skip to main content

Familia ya David Angwenyi yataka kusaidiwa kusafiri Uingereza

  • | KBC Video
    108 views
    Duration: 1:57
    NDOTO YA MZAZI Familia ya David Angwenyi inaitaka wizara ya masuala ya kigeni kuisaidia katika kisa ambapo inataka ombi lao la visa liangaziwe upya ili waweze kusafiri nchini Uingereza kwa mahafali ya mwana wao wa kiume, baada ya ombi la kwanza kukataliwa. Familia hiyo imesema inahofia itakosa kushiriki katika sherehe hiyo muhimu ya mwana wao Bryan Angwenyi, licha ya kujinyima kwa miaka mingi ili kufadhili elimu ya mwanao ambayo iliwagharamu takriban shilingi milioni nane. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive