Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Erickson Mutisya bado yadai haki miaka miwili baada ya kifo chake

  • | Citizen TV
    1,054 views
    Duration: 3:18
    Familia ya Erickson Mutisya, aliyeuawa wakati wa maandamano ya Gen Z miaka miwili iliyopita, bado inadai haki na fidia kufuatia kifo cha mwana wao.