- 11,216 viewsDuration: 3:51Familia moja katika eneo la Kawangware hapa Nairobi inatafuta haki kwa jamaa yao aliyezidi kuugua baada ya matibabu ya meno. Amos Isokaa alilazimika kulazwa hospitalini kurekebishwa hali aliyo nayo baada ya kudai utepetevu wa kliniki ya awali aliyozuru.