27 Oct 2025 7:55 pm | Citizen TV 1,473 views Duration: 1:11 Familia moja eneo la Kiamaiko, Nairobi imeomba serikali kuwasaidia kumtafuta mwana wao wa mwaka mmoja aliyeibiwa nyumbani kwao jana mchana.