Skip to main content
Skip to main content

Familia ya marehemu Jirongo yaomba majibu kuhusu kifo chake cha ajali ya barabarani

  • | Citizen TV
    2,427 views
    Duration: 1:40
    Familia na jamaa za marehemu mbunge wa zamani Cyrus Jirongo aliyefariki kwenye ajali ya barabarani usiku wa kuamkia jumamosi imetaka majibu kuhusu utata unaozingira kifo chako.