- 17,998 viewsDuration: 28:10Rais wa Kenya William Ruto amezungumzia tena mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Afrika Mashariki kinachopendekezwa kujengwa katika bandari ya Tanga nchini Tanzania, akisisitiza uamuzi wa mwisho utakuwa wa wawekezaji wakiongozwa na bilionea wa Nigeria Aliko Dangote. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw