Familia ya marehemu mbunge wa Kasipul Ong'ondo Were yawalaumu polisi kwa kutochukua hatua yoyote

  • | Citizen TV
    5,717 views

    Familia ya marehemu Mbunge wa Kasipul Charles Ong'ondo Were imewalaumu maafisa wa usalama kwa kupuuza ripoti za marehemu kuwa maisha yake yalikuwa hatarini. Familia ya marehemu Were ikiripoti kuwa marehemu aliripoti mara kadhaa kuwa alikuwa akilengwa kuuawa, ila polisi hawakuwajibika. Seth Olale anaarifu huku viongozi wakiendelea kuifariji familia na kudai majibu ya kitendawili cha mauaji ya mwenzao