Familia ya mkweaji mlima yahitaji shilling million 25 kuusafirisha mwili wake hadi Kenya

  • | KBC Video
    16 views

    Familia ya mkweaji mlima, Joshua Cheruiyot Kirui, ambaye alifariki wakati wa kuukwea mlima Everest, inahitaji shilingi milioni 25 kuusafirisha mwili wake hadi humu nchini. Kulingana na shirika la utangazaji la BBC, rafikiye Kirui, Kipkemoi Limo, familia ya marehemu ilitaka kujua ikiwa Kirui alitaka mwili wake kuzikwa kwenye mlima Everest ama kurejeshwa nyumbani .Kirui mwenye umri wa miaka 40 kutoka Kericho , anasemekana kutoweka karibu na kilele cha mlima huo siku ya jumatano akiwa na mwelekezi wake baada ya kujaribu kuukwea mlima huo bila hewa ya oxigeni ya kutosha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive