Kina Mama wapokea mafunzo ya Ujasiriamali Kajiado

  • | Citizen TV
    123 views

    Nyimbo na densi za kitamaduni zilishamiri wakati wa hafla ya kufuzu kwa wanawake waliopewa mafunzo ya kujikimu kiuchumi kayunti ya Kajiado