Kamati ya Seneti yachunguza malalamishi ya wakazi

  • | Citizen TV
    64 views

    Kamati ya seneti kuhusu maswala ya ardhi, mazingira na mali asili Sasa imeanza kusikiliza malalamishi kuhusu ukiukwaji wa sheria, kubomolewa kwa nyumba na wakazi kutishiwa kuondolewa kutoka kwa kipande chao cha ardhi kinachodaiwa kutekelezwa na wawekezaji eneo la Ganda kaunti ya Kilifi.