Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Veronica Njeri katika eneo la Ruai inakumbana na changamoto tele

  • | Citizen TV
    238 views
    Familia Ya Virginia Njeri inayoishi eneo la Ruai kaunti ya Nairobi inakumbana na changamoto mara mbili. Kwanza nyumba yao imejaa maji kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha, na pili kifo cha mumewe Njeri kufuatia ajali ya barabarani. Sasa familia ya mama huyu imesalia kupanga mazishi katika nyumba iliyojaa maji.