Familia yajawa na huzuni kufuatia mwili wa mwana wao kukosekana baadhi ya viungo vya mwili

  • | K24 Video
    48 views

    Familia moja ya magarini kaunti ya Kilifi imejawa na huzuni kufuatia mwili wa mwana wao ulioletwa nchini kutoka italia kukosekana baadhi ya viungo vya mwili. Kulingana na ripoti ya upasuaji wa maiti ,mwili wa Justine Luwali umepatikana na makovu ila haukuwa na ini, figo wala moyo.