Familia yalilia haki baada ya maiti ya mwanao kufanyiwa uchunguzi bila wao kujua

  • | NTV Video
    673 views

    Familia ya Elijah Muthoka mwenye umri wa miaka 17 inadai haki kufuatia kifo chake wakati wa maandamano ya Juni tarehe 25. Uchunguzi wa maiti ulifanyika bila familia kujua au kutoa idhini.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya