Skip to main content
Skip to main content

Familia za waliotekwa nyara zataka haki

  • | Citizen TV
    270 views
    Duration: 3:10
    Familia za watu wanne waliotekwa nyara zimeandamana jijini Nairobi huku zikiendelea kuwalaumu polisi kwa kuhusika. Zaidi ya mwezi mmoja baada ya MacMilan Kiarie, Michael Oloo, Evans Otieno na Abdulaziz Ali kutoweka, jamaa na wanaharakati wanasema serikali imeendelea kujitia hamnazo. Waliwasilisha waraka wa malalamishi yao kwa afisi kadhaa za serikali huku msemaji wa polisi Muchiri Nyaga akisema sheria inafuatwa katika uchunguzi wa visa hivyo.