- 344 views
Jamaa na marafiki wa watu watano waliuwawa baada ya kushambuliwa na kundi la kigaidi la Al Shabaab katika kijiji cha Bur Abor kaunti ya Mandera sasa wanaomba msaada wa kifedha wa kusaidia familia za waliopoteza wapendwa wao. Jamii hizo ambazo zingali kwenye hali ya mshtuko wanaomba serikali zote mbili kuwasaidia kwani watu hao watano walikuwa na familia changa na walikuwa wakitegemewa kwa kiasi kikubwa. Aidha, wanaomba serikali kuimarisha hali ya usalama katika machimbo ya mawe ambayo yako mbali na maafisa wa usalama ili kuokoa maisha ya wale wanaofanya kazi huko.
Familia za waliouwawa na magaidi Mandera zaomba msaada
- 6 Jul 2025 - Japan's government on Saturday warned of more possible strong earthquakes in waters southwest of its main islands, but urged the public not to believe unfounded manga comic-book predictions of a major disaster.
- 6 Jul 2025 - Traders affected by the recent demonstrations held in honour of victims of last year’s anti-Finance Bill protests are now struggling to rebuild their lives and livelihoods.
- 6 Jul 2025 - Deputy President Kithure Kindiki and other leaders backing the broad-based government have intensified attacks on the opposition, calling for unity to heal the nation.
- 6 Jul 2025 - The High Commission of Rwanda in Kenya has marked 31 years of liberation — a commemoration of the country’s remarkable transformation, from a painful past under an oppressive regime to a future defined by unity, progress, and resilience.
- 6 Jul 2025 - Kenya today: An angry nation sliding towards self-destruction
- 6 Jul 2025 - 35 years later, Saba Saba continues: Meeting of different generations, same script
- 6 Jul 2025 - Parliament's CDF coup: The Senate should halt this constitutional heist
- 6 Jul 2025 - Opposition leaders slam Ruto over state house church plans
- 6 Jul 2025 - Saba Saba's long harvest and why struggle is never wasted
- 6 Jul 2025 - Joho leads Coast MPs in Ruto campaign