Familia za watu 12 waliofariki kwenye ajali ya barabarani Voi zaanza kutambua maiti za jamaa zao

  • | Citizen TV
    1,046 views

    Mikakati ya utambuzi wa miili ya Watu 12 waliofariki hapo jana baada ya ajali mbaya ya barabarani iliyotokea eneo la ikanga,Voi kaunti ya Taita taveta kwenye barabara kuu ya Nairobi - Mombasa imeanza. Ajali hiyo iliyohusisha gari la umma la chania Genesis sacco na Trela lilisababisha watu 3 kujeruhiwa. majeruhi wanapokea matibabu katika hospitali ya rufaa ya moi mjini voi. Familia za waliopoteza wapendwa zao wameanza maandalizi ya utambuzi wa miili katika hospitali hiyo. Tuungane naye mwanahabari wetu Keith simiyu mubashara akiwa katika hospitali hiyo.