16 Dec 2025 10:30 am | Citizen TV 195 views Duration: 1:01 Serikali inaendelea kuwafikia watu walioathirika na ukame, huku familia zaidi ya elfu mbili katika eneo la Eldas, Kaunti ya Wajir, zikipewa chakula cha msaada.