Skip to main content
Skip to main content

Familia zaomba serikali kusaidia kurejesha miili ya wapendwa waliofia ughaibuni

  • | Citizen TV
    1,991 views
    Duration: 3:05
    Familia mbili zilizowapoteza wapendwa wao ughaibuni zinaomba serikali kuwasaidia kurejesha miili yao nchini kwa mazishi. Mmoja wao ni Agnes Emmanuel ambaye aliaga dunia zaidi ya miezi miwili iliyopita nchini Lebanon, na hadi sasa mwili wake bado haujasafirishwa nchini. Na huko Bomachoge kaunti ya kisii familia ya Fraser Ongachi inajaribu kuchangisha fedha za kuusafirisha mwili wake kutoka dubai. Familia hii imechanga shilingi 20,000 kati ya shilingi milioni 1.7 zinazohitajika